Fredy Azzah
IMEBAINIKA kwamba Watanzana wanaanza kufanya ngono wakiwa na umri mdogo zaidi hali inayosababisha kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi pamoja na idadi ya watu kuongezeka.
Takwimu zilizotolewa jana jijini Dar es Salaam na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Idadi ya Watu (UNFPA), katika kongamano la Afya ya Uzazi kwa vijana, lililokutanisha makundi mbalimbali ya vijana, zilieleza kwamba wasichana ni kundi lililoathirika zaidi.
Ofisa Mipango wa Ukimwi wa UNFPA Dk Chilanga Asmani, alisema takwimu za shirika hilo zinaonyesha kwamba asilimia 59 ya wasichana huanza ngono wakiwa na chini ya miaka 18 huku ikiwa ni asilimia nne ya vijana wanaoanza ngono wakiwa chini ya umri huo.
Monday, September 12, 2011
Thursday, August 11, 2011
Ajinyonga kutokana na kuchoshwa na vipigo vya mkewe
Anthony Mayunga-Serengeti
MKAZI mmoja katika mtaa wa NHC mjini Mugumu Samson Kitoshi (32) amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba chumbani kwake kwa kile kilichodaiwa kuwa amechoka kupigwa na mkewe kila wakati.
Tukio hilo limevuta umati mkubwa wa watu linadaiwa kutokea Agosti saba saa tano asubuhi chumbani kwake alipofunga kamba juu ya dari na kuning'inia hadi alipokata roho.
Akisimulia mkasa huo mtoto wa marehemu Rehema Samson (10) anayesoma darasa la 3 shule ya msingi mapinduzi alisema kabla ya kutokea kwa tukio hilo mama yao alimpa Sh 1,000 anunue sukari na vitafunio, lakini asimpe baba yao chai.
Monday, July 25, 2011
Mwanamke aolewa na wanaume wawili, ameishi nao miaka saba
Peti Siyame, Mpanda
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.
Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Pamoja na ndoa hiyo iliyowezeshwa na mume mkubwa kukubali kuishi na mume mdogo, imeelezwa kuwa mwanamke huyo ndiye ‘aliyewaoa’ wanaume hao kwa zaidi ya miaka saba sasa, huku akiwa na amri kuu katika nyumba, kama ilivyo katika ndoa za kawaida.
Sunday, July 24, 2011
Is this a right way to go
Now Media Gender Alliance has some nice little shots of just what it takes before you get accepted to be part of the ‘reed dance’ an elaborate dance ceremony where the lucky lady will become part of the king’s bevy of beauties..or is it harem?
The older mama's scan you thoroughly!! Check the galz awaiting their turn
The older mama's scan you thoroughly!! Check the galz awaiting their turn
entrants to the King’s bedroom
Now one wonders why these people are so obsessed in becoming the next entrants to the King’s bedroom
Now someone tell me..isn't the gal on the foreground a minor!! Someone do this to my daughter and I will kill you
Now someone tell me..isn't the gal on the foreground a minor!! Someone do this to my daughter and I will kill you
Once you are a confirmed Vajo
The champion
Once you are a confirmed Vajo...you get a Certificate..in other words you become a CERTIFIED Virgin
priorities, opportunities and interest.
Fatehiya Salmin
Mgaro (Mwalimu Gender Awarenes Raising Organization ) “ To provide knowledge through training on gender awareness from household level to national level and its impacts to them in relation to gender needs, priorities, opportunities and interest. - To ensure that similarities and differences between men and women are recognized and equally valued” Mgaro Chairman Fatehiya Salmin
FGM
FGM....this is how children..(girls) undergo FGM, due to the bad tradition and believes practises in our societies,especially in africa
Thursday, July 14, 2011
Tuesday, July 12, 2011
Mke aoza mguu kwa kipigo cha mumewe
Samson Chacha, Tarime
MKAZI wa kijiji cha Gwitiryo, kata ya Nyamaraga, Wilfrida Nyakaware (20), amelazwa katika zahanati ya Gwitiryo Sirari, akiwa ameoza mguu huku hali yake ikiwa mbaya kutokana na kipigo cha mumewe.
MKAZI wa kijiji cha Gwitiryo, kata ya Nyamaraga, Wilfrida Nyakaware (20), amelazwa katika zahanati ya Gwitiryo Sirari, akiwa ameoza mguu huku hali yake ikiwa mbaya kutokana na kipigo cha mumewe.
Thursday, July 7, 2011
Ngarenaro, Unga Ltd zatajwa kuongoza kutupa watoto
Mussa Juma, Arusha
KATA za Ngarenaro na Unga Ltd, katika Jiji la Arusha, zimetajwa kuongoza kwa wasichana wanaojifungua kutupa watoto wachanga mkoani Arusha.
KATA za Ngarenaro na Unga Ltd, katika Jiji la Arusha, zimetajwa kuongoza kwa wasichana wanaojifungua kutupa watoto wachanga mkoani Arusha.
Tuesday, July 5, 2011
Afukuzwa kwenye nyumba kwa sababu ya ulemavu
Fredy Azzah
MIONGONI mwa makundi ya kijamii yaliyo na mahitaji maalumu, watu wenye ulemavu ni kundi linalokumbwa na adha nyingi zaidi katika jamii.Adha na mateso zinazoikabili jamii hii ni pamoja na unyanyasaji, ubaguzi hata wakati mwingine kuuwawa kutokana na sababu mbalimbali.
Mayasa Mikidadi (44), mkazi wa kijiji cha Kiluvya kilichopo katika kata ya Kiluvya wilayani Kisarawe ni mmoja walio katika jamii hii.Hata hivyo kama wasemavyo wahenga kuwa, "Hujafa, Hujaumbika, Mayasa alipata ulemavu ukubwani.Anasema kuwa hali hiyo ya ulemavu pia imemwinginza katika mateso ambayo sasa yanamfanya asitamani tena kuishi.

Monday, June 27, 2011
karibuni
Karibuni wadau wote katika blog ya waandishi wa habari wenye lengo la kuhakikisha haki na heshima za Jinsi (gender) zote zinalindwa na kuheshimiwa.
Subscribe to:
Comments (Atom)