Mwalimu wa madrasa alivyonajisi
wasichana wanne, wavulana wawili
NI WA MIAKA MIWILI HADI 10, SHEIKH AKEMEA ASEMAMEZANI KWAKE YAPO MASHAURI SITA YA NAMNA HIYO
Fredy Azzah
MATUKIO
yanayofanywa na baadhi ya binadamu, yanaweza kufanya waamini wa dini mbalimbali
kuamini kuwa kiama kimekaribia.Kwa
kiasi kikubwa vitendo hivi ambavyo vipo kinyume kabisa na ubinadamu,
vinatekelezwa na wale waliotarajiwa kuvikemea, huku wakiwa wamejificha na
kivuli cha vyeo vyao.



