Monday, July 25, 2011

Mwanamke aolewa na wanaume wawili, ameishi nao miaka saba



Peti Siyame, Mpanda
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani hapa, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.

Kijiji hicho kipo umbali wa takribani kilometa 30 kutoka mjini hapa katika Jimbo la Katavi linalowakilishwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

Pamoja na ndoa hiyo iliyowezeshwa na mume mkubwa kukubali kuishi na mume mdogo, imeelezwa kuwa mwanamke huyo ndiye ‘aliyewaoa’ wanaume hao kwa zaidi ya miaka saba sasa, huku akiwa na amri kuu katika nyumba, kama ilivyo katika ndoa za kawaida.

Sunday, July 24, 2011

Is this a right way to go

Now Media Gender Alliance has some nice little shots of just what it takes before you get accepted to be part of the ‘reed dance’ an elaborate dance ceremony where the lucky lady will become part of the king’s bevy of beauties..or is it harem?



The older mama's scan you thoroughly!! Check the galz awaiting their turn

entrants to the King’s bedroom

Now one wonders why these people are so obsessed in becoming the next entrants to the King’s bedroom



Now someone tell me..isn't the gal on the foreground a minor!! Someone do this to my daughter and I will kill you

Once you are a confirmed Vajo

The champion


Once you are a confirmed Vajo...you get a Certificate..in other words you become a CERTIFIED Virgin

priorities, opportunities and interest.

Fatehiya Salmin


Mgaro (Mwalimu Gender  Awarenes Raising Organization )  “ To provide knowledge through training on gender awareness from household level to national level and its impacts to them in relation to gender needs, priorities, opportunities and interest. - To ensure that similarities and differences between men and women are recognized and equally valued”  Mgaro Chairman Fatehiya Salmin

FGM



FGM....this is how children..(girls) undergo FGM, due to the bad tradition and believes practises in our societies,especially in africa

Tuesday, July 12, 2011

Kwa mpango huu tutafika kweli? mtoto unambeba kama Pochi, Mke uliyempenda ukamtoa kwao unamfanya kama punching bag,

Mke aoza mguu kwa kipigo cha mumewe

Samson Chacha, Tarime

MKAZI wa kijiji cha Gwitiryo, kata ya Nyamaraga, Wilfrida Nyakaware (20), amelazwa katika zahanati ya Gwitiryo Sirari, akiwa ameoza mguu huku hali yake ikiwa mbaya kutokana na kipigo cha mumewe.

Thursday, July 7, 2011

Ngarenaro, Unga Ltd zatajwa kuongoza kutupa watoto

Mussa Juma, Arusha
KATA za Ngarenaro na Unga Ltd, katika Jiji la Arusha, zimetajwa kuongoza kwa wasichana  wanaojifungua  kutupa watoto wachanga mkoani Arusha.

Tuesday, July 5, 2011

Afukuzwa kwenye nyumba kwa sababu ya ulemavu

Fredy Azzah
MIONGONI mwa makundi ya kijamii  yaliyo na mahitaji maalumu, watu wenye ulemavu ni kundi linalokumbwa na adha nyingi zaidi katika jamii.Adha na mateso zinazoikabili jamii hii ni pamoja na unyanyasaji, ubaguzi hata wakati mwingine kuuwawa kutokana na sababu mbalimbali.

Mayasa Mikidadi (44), mkazi wa kijiji cha Kiluvya kilichopo katika kata ya Kiluvya wilayani Kisarawe ni mmoja walio katika jamii hii.Hata hivyo kama wasemavyo wahenga kuwa, "Hujafa, Hujaumbika,  Mayasa alipata ulemavu ukubwani.Anasema kuwa hali hiyo ya ulemavu pia imemwinginza katika mateso ambayo sasa yanamfanya asitamani tena kuishi.